Overview

ni mfumo wa mauzo kwa njia ya mtandao ambao unatoa nafasi kwa mfanyabiashara(MUUZAJI) kuwa na sehemu yake maalumu(account) ndani ya PDO, ambapo atakua na uwezo wa kuweka jina la duka lake, logo, picha na maelezo yote yanayohusisha bidhaa au huduma anayoitoa.Pata Duka Online(PDO) itahakikisha MTEJA anapata bidhaa yake kwa wakati, bidhaa ipo katika ubora unaokubalika, na MUUZAJI ndani ya PDO anapata fedha yake na kikubwa anapata mazingira mazuri ya kuonesha bidhaa zake na anatoa huduma katika ubora mzuri.

                                                   PATA DUKA ONLINE IMEGAWANYIKA KATIKA SEHEMU KUU TANO
(1) General overview for customer/Muoekano wa ujumla eneo la mnunuaji
a ) Home page/Ukurasa kuu
b ) Flash Deals InfoArea/Eneo lenye vitu vyenye punguzo kubwa la bei
c ) Featured ProductArea /Bidhaa zenye sifa maalumu
d ) Page ya Malelezo ya bidhaa/Product Description Page
(2) How to buy product or service in PDO/Jinsi ya kununua bidhaa au huduma ndani ya mfumo kwa mteja
(3) Pata Online Terms and condition, return policy, support policy and privacy policy/ Vigezo na masharti, Sheria ya
kurudisha bidhaa vya pata
(4) How to be registered as seller in Pata Duka Online/ jinsi ya kujisajiri kama mfanyabiashara anaeuza bidhaa zake
kupitia Pata Duka Online

    Kwa Maelezo zaidi , download na soma document ifuatayo, Asante na Endelea kufurahia pata duka online platform

Mnunuaji ndani ya Pata Duka Online